Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aache maneno mengi mara SHIMBA YA BUYENZE. Kama hana aseme nimkopeshe !!!Mpe elfu kumi yake bhana
Sisi tutakuwepo hapa tunabugia likes inabidi tuheshimu ukazwaji wa vyuma
😀 😀 😀 😀 😀Star boy
Star girl
Star baby
Star mom
Star pyaar
Star mzigua 90
Star Cole Williams
Star B A K
star jakitoo
Star numbisa
Star TV..... [emoji1] [emoji23] [emoji14] [emoji119] [emoji377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Aache maneno mengi mara SHIMBA YA BUYENZE. Kama hana aseme nimkopeshe !!!
Kila mmoja anapigania tumbo lake. Hakuna jipya kwa mwanasiasa ye yote wala mwanaharakati ye yote.Umeona ee ukisema unaonekana hupend maendeleo mara unashabikia wauaji. Kuna mwanasiasa yupi asie muuaji? Mauaji ya mwanafunz na wengineo mengi yamesababishwa na ukaidi wa wanasiasa wa upinzan ukiwauliza wanajitetea umwagaji dam ndio ukombozi. Kisha hao hao wanatumia kiki ya watu kuuwawa kuisingizia serikali maovu yao
Hahahahaa! Hide my Id.Wee muhenga kabisa unaniita mie dada basi SHIMBA YA BUYENZE ni mdogo wangu kabisaaa hahahaa asiiione hiii
Motrooo[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]Mambo ni hiviii [emoji91][emoji91]
BAK kila chama hasa ccm na cdm kina watu wake humu na kina walipa kumbuka wakati wa uchaguzi 2015 kuna watu walidakwa na polisi wakiwa wameweka kituo na kutoa matokeo wanayoyafahamu wao,wale wajuzi wa siasan wanawafahamu id zao baada ya kukamatwa tu wakapotea humu hata walipotoka polisi wakakacha ID zao.
All in all humu tunakula likes tu siasa zitatugawanya. UZI HUU TUKIUGEUZA UWANJA WA MALUMBANO YA KISIASA HATUTAFIKA MBALI
Kibig mwenzangu uko api?Motrooo[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]