Mkuu labda kama angekuwa madarakani mtu mwenye akili timamu na mapenzi ya kweli kwa Tanzania na Watanzania lakini si huyu dhalimu. Laiti Mkapa na Kikwete wangemsikiliza Mama Magufuli basi hili balaa kubwa nchini wala lisingekuwepo la watu kutekwa, kuteswa, kupotea, kuuawa, na miili chungu nzima kuokotwa ufukweni huku Watanzania chungu nzima wakiishi kwa hofu kubwa na taharuki.
Hahaha Furaha popote sioHahaha, bata siyo lazima uende kule George and Dragon au Samaki Samaki.
Unaweza hata ukapika tu menyu ndogo hapo nyumbani na ukafurahia wakati wako kuliko hata aliyeenda Hyatt.
Mipango tu kaka..............
Mpe elfu kumi yake bhana
Kidogo hahahaKumbe Binti mpole unafahamu siasa piah
Hahahaha sawa mkuu ila sasa elfu kumi ishayeyukaHata ningekuwa na miaka mia, wewe bado ni dada yangu tuuu,
Au nakosea ???πππ
Happiness is a feeling not a place mkuu.Hahaha Furaha popote sio
Asante maa karibu tuvute siku tuuNipo humu kibig chenzangu, karibu maaa
Mi naingiaje hapa tena?
Mtandaoni hapa; na kweli naweza kuwa mdogo wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah bana bana hahaahAache maneno mengi mara SHIMBA YA BUYENZE. Kama hana aseme nimkopeshe !!!
What's this....A puppy or an otter ??