Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fikiria mfungwa yule aliyefunguliwa akaamua kurudi kuwajulisha wenzie kuwa kuna dunia tofauti na hiyo, endapo akirudi kwa pale barabarani kwa juu na kuwaambia kuwa "Jamani geukeni" wenziye hawatamuelewa. Watabaki kushangaa kuwa wanasikia sauti lakini hawajui imetoka wapi kwani wanatazama mbele na pia watabakia kuona kivuli cha lijitu au kitu kikubwa kipo kwenye ukuta wanaoutazama na hawatafahamu wanaambiwa nini na nani.
 
 
Puresha mama...pureshaaa...... Wanachamba haooooo,anaweza kumchamba hata mama mzazi japo ni marehemu.
Ole wake mwanaume awe ni wa kigugumizi,atajuta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sauti yake itakuwa kama makelele, kivuli chake kitakuwa kama kinawakera muonekano wake au kitakuwa kinawachanganya kufahamu ni jitu gani hilo limetengeneza kivuli kwani hawawezi kugeuka nyuma wala hawafahamu kuna kugeuka nyuma.
 
Na pia endapo akipewa nafasi hata kushuka kwenye pango chini na kuongea na watamuona kama amechanganyikiwa kwa ambayo atakuwa anawaeleza kwani wao hawakutegemea kabisa. Pia itawachukua muda na wao kuzoea mwanga wa nje kwani walizoea giza. Na inaweza kupelekea hata wakamuona yeye ni tofauti na wao na kumshangaa au kumtukuza
 
 
 
MAANA.

Mpaka leo limebaki kuwa ni fumbo japokuwa wengi wamekuwa wakijaribu kutafsiri Plato alikuwa anamaanisha nini alipokuwa akielezea uhalisia wa mwanadamu. Fumbo hilo kila mmoja anaweza kulifikiria kivyake na kujitahidi kujitoa katika pango na kuweza kujitambua zaidi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…