Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yaani wewe shemeji dah ! Eti hata kiwe kitaalamu cha kufanya nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] sori,kimbau mbau sigusi hata ajisifie kuwa ni mtaalamu wa kumung'unya parachichi...
Haka ka nyimbo kamenikumbusha enzi zangu za ujana[emoji126][emoji126][emoji126]
Kakimbaumbau haka lakini kana mamiguu ya kufa mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafakari ni wangapi waliokufa miaka ya zamani, na muda gani umepita mpaka leo? Na kama bado wapo wapo wapi? Je wanaishije muda huu? Utaona maisha ni mafupi sana.
Badala ya kupoteza muda kufanya majukumu, kujenga n.k wakati vyote hivi vinapita na tunaviacha hapa duniani tunapaswa kufahamu kuwa lengo la maisha ni kujitambua. Unapojitambua utabadilisha mabaya yote na kuhakikisha unajiweka imara katika matendo, mawazo na maneno sahihi.
Nimemuona kwenye BBC. Wote kwenye gari ilibidi wawe kimyaa hakuna kutikisika. Katoto ka Cheetah kanawachezea na mama cheetah yupo dirishani anaangalia kwa uangalifu. Itabidi wakatambike na wanamshukuru sana guide wao kwa kuwashauri kuwa kimya kabisa kama maji ya mtungini....
Weseeee dah !!!