Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

You are a Spirit living in a body,
A soul is a buffer zone between Body and Spirit.
Soul contains Mind, Will and Emotions.....(That's why its very attached to a body)
Umenikumbusha mbali sana kuna darasa fulani ulizukaga huu mjadala mzitooo......!
Kila mtu na imani yake!
Na anacho amini ndicho kitakacho kuwa kwake!
 
Kweli kabisa.
Ukioa/kuolewa kwao wanakuona kama kaka/dada kwao,, vile vile hawana aibu kabisa.
Wanawake wa kinyakyusa ndo wanasimamia familia zao (uchumi), wanaume wa kinyakyusa wengi wao wavivu/wazembe sana.

Halafu wana mila yao moja hivi, mkwe wa kike haruhusiwi kuonana na baba mkwe..Kama ni salamu sauti tu ndo zitakazosikika.

Kwa bahati mbaya ikitokea wakakutana uso kwa uso, mkwe atakimbilia kujificha ili kumpisha baba mkwe.

Sio ajabu miaka 10 kukatika hamjui baba mkwe anafananaje zaidi ya kusikia tu sauti yake.

Kwao kula na kuvaa ndo fahari.
 
Kwa bahati mbaya ikitokea wakakutana uso kwa uso, mkwe atakimbilia kujificha ili kumpisha baba mkwe.

Sio ajabu miaka 10 kukatika hamjui baba mkwe anafananaje zaidi ya kusikia tu sauti yake.

Kwao kula na kuvaa ndo fahari
.

Hahahaha umenifurahisha sana leo,
Nimepata majungu mapya....!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…