[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kiasi JT.
It seems you are not in a good mood today. Sorry...Kila mtu umwonaye is fighting a tough battle, may be tougher than yours. Always remember that my friend....[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈSawa[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mtakatifu asiye mkamilifu?Hakuna aliyemkamilifu
Kidogoo bana[emoji4]Dancing Queen JT
Sawa...Ila wengine hatuna haja ya kuzifuata wala kuzikubali hasa kama hazijasimikwa katika ukweli wo wote [emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈ[emoji124]ββοΈSasa si ndio taratibu zao mkuu
Of course...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]He is entitled to his opinion.
Hahahahaha"Kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi" - Zitto...
Mwanasiasa anafuata upepo unavyokwenda. Na kamwe huwa hawakumbuki waliyowahi kutamka au kutenda huko nyuma...
Hahahahahahahahahahahaha lol! Mama kama huyu si wa kukaa naye karibu. Unaweza UKAJUTA! Si wa mchezo mchezo huyu.
HahahahahaMtakatifu asiye mkamilifu?
π π π π , kwani uongo?Ushindwe na ulegee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi huwa napenda tu kuwachemsha makamanda. Huwa hawakawii kuripuka wakiona umehoji wakisemacho hata uwe mpole namna gani. Wanapigania uhuru wa kujieleza lakini hawataki kusikia mawazo kinzani na dodosi kuhusu hoja zao. Huwa nafurahia sana japo nikiona moto unaelekea kwenye ban huyooo nateleza zangu kiaina na kuwaacha wakiendelea kufoka na kutunisha mifupa ya shingo huku mapovu yametapakaa kila kona. Pathetic !!!Mimi na wewe ni kitu kimojaaaa haina maana ohoo haina maana kudanganyana,mimi na wewe wasema ukweli in andjul voice
Basi akatekeleze kile alichoambiwa na bibi wa mtoto.Ndiyo tiba iliyopendekezwa na bibi yake. Hajasimamisha tangu azaliwe...
Huyo huyo Shimba ya Buyenze...ya Buyenze ama?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahaaa, acha utundu wewe! [emoji1][emoji1]