Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo ndo maneno sasa. Fungu kama lipo si ajabu litakuwa kwenye mambo ya Walawi au Kumbukumbu la Torati...Hapana nami nilikuwa nauliza swali maana sijaona Leo tunagonga Nyama na majackDaniel kama kawaida
Mhhh,
Somethin just ain't right..
You spend 14 years with a woman, up on it you parent two kids with her.
And then you just call it quits, like that ??? If they weren't compatible why waste too much dough for almost a decade and a half. Needless to say Johhny Boy amekuwa na mahusiano mengi sana, yani kichwa moto hata haonei huruma watoto wake.
NB:And me thinks this is one of the reason he never wins an Oscar.!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], unakuwa kama watafuna mabua, HahahaaaaNa porn star utamfanya nini? Alishavurugwa na kupambana na masaksafoni ya kila aina...
Philipo Zimbardo, ambaye ndiye aliyekuwa anasimamia zoezi lote alisema kuwa, “ Wale waliopewa nafasi ya ulinzi mwanzoni walikuwa wanafanya kama wanaigiza lakini baadaye wakawa wanafanya kweli na mpaka kuonea wenzao. Kuna waliokuwa wanawachapa kabisa wenzao, kuwapa adhabu mbaya, na kuwafanyia vitendo vibaya wafungwa."
Ngoma Kali sana wapi HARUFU alete mistariFerouz Ft Prof J ~ Starehe
[emoji445] [emoji443] [emoji443] [emoji442]
Old skulz
Philipo Zimbardo, ambaye ndiye aliyekuwa anasimamia zoezi lote alisema kuwa, “ Wale waliopewa nafasi ya ulinzi mwanzoni walikuwa wanafanya kama wanaigiza lakini baadaye wakawa wanafanya kweli na mpaka kuonea wenzao. Kuna waliokuwa wanawachapa kabisa wenzao, kuwapa adhabu mbaya, na kuwafanyia vitendo vibaya wafungwa."
Likely kawachanganya na akina Mh. Heche [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakerewe hatuna hasira hivyo
Labda iwe chonkaWakerewe hatuna hasira hivyo
Safi kabisa happy Easter in advanceSalama mzee za kwako?
Philipo Zimbardo, ambaye ndiye aliyekuwa anasimamia zoezi lote alisema kuwa, “ Wale waliopewa nafasi ya ulinzi mwanzoni walikuwa wanafanya kama wanaigiza lakini baadaye wakawa wanafanya kweli na mpaka kuonea wenzao. Kuna waliokuwa wanawachapa kabisa wenzao, kuwapa adhabu mbaya, na kuwafanyia vitendo vibaya wafungwa."
Bwahaahahaahaha eti "Masaksafoni"Na porn star utamfanya nini? Alishavurugwa na kupambana na masaksafoni ya kila aina...
Tafiti hiyo ilifundisha kuwa, baada ya mtu kuigiza hali fulani kwa muda mrefu inapelekea kuanza kuishi kiukweli kweli katika maigizo hayo. Hivyo utagundua kuwa leo hii unaweza ukawa unajiona ni mwema na mkamilifu lakini mazingira na mazoea madogo madogo yanaweza kubadili tabia yako bila wewe kujijua kabisa.
YopKumbe kwa kfup nimebug?

RC wamechukua tabia za kirumi nyingi sanaHiyo ndo maneno sasa. Fungu kama lipo si ajabu litakuwa kwenye mambo ya Walawi au Kumbukumbu la Torati...
Inasemekana hii ya kutokula nyama ilianzishwa na Waroma ili kuwafanya watu wale samaki. Ilikuwa ni mbinu ya kuwasaidia wavuvi na kuimarisha fishing industry enzi zile..
Hapana! Nimeongea tu.Unataka kutesti zali? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️