Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
 
Kutambua nguvu ya mawazo (thoughts). Unaweza ukawa unadharau kuwa mawazo ni kitu cha kawaida lakini amini kuwa mawazo au wazo lolote kichwani ni energy na unaumba kupitia mawazo ukichanganya na hisia juu ya mawazo hayo. Kila kitu hapo kale kilikuwa na wazo. Tazama kila kitu kinachokuzunguka utaona kuwa kila kitu kilikuwa wazo hapo mwanzo halafu uumbaji wake ukafuatia. Mfano dirisha au mlango, hapo kale kabla ya dirisha lilikuwa ni wazo la kitu kama dirisha ndipo wazo lile likatendewa kazi na kutokea katika dunia ya kifizikia
 
 
 
Mfano mwingine ni Computer, Tv, au kila kitu alichotengeneza mwanadamu kabla ya kuwa kitu lilikuwa ni wazo na likafanyiwa plan then likatokea. Hivyo utagundua kuwa miaka ijayo mambo mapya yataendelea kuwepo kwani mawazo yapo kwa baadhi ya wanadamu hivi sasa na wanadamu wachache wanaweza kuhamisha mawazo kutoka kwenye conscious mind kwenda kwenye subconscious mind (The Mind of Inteligence, The Provider). Hivyo kila wazo lililopo kichwani either baya au zuri tambua kuwa linaweza likaumba.
 

Mwalimu Mada yako ya leo imenivutia kuliko zote ulizowahi toa....!
Ukimaliza ntakuuliza maswali basi eeeh ???
Ahsante sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
 
Ila nasikia kitovu kikidondokea kwenye dhakari halafu hakuna mwingine aliyeona zaidi ya mama/ atakae kuwa na mtoto, na ikawa siri yake asiseme kwa watu wengine mtoto akikua dhakari inapiga kazi kama kawaida.

Hiyo ya mdogo mtu kuingia himaya ya kakake nilijua inaishia kwenye kurithi tu mke (Nyakyusa) baada ya mume kufariki, kumbe hata kaka/mdogo mtu anapopata matatizo anasaidiwa!
Upendo ulioje.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…