Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ati nini? Unaogopa ulaini? Ulaini? Softness?Hio supu ya kongoro ningeisamehe. Ishanishinda zamaan anzia harufu mpaka ulain wake.
Wenyewe tumefurah kuongeza mdada mwingine mwenye ujuzi wa kila aina,usitukimbie tu hapa ndo home sweet home.
Nani huyo? RIP...
Hivi kuna aliyewahi kupata ban kwa Uzi huu?Asante mkuu. Ndiyo maana hapa hata ligi za mafisi na manyumbu hazipo sana. Hata zikijitokeza zinamalizika kwa amani na watu wanaendelea kugonga likes tu. Mimi nikilikorofisha huko majukwaa mengine na kutolewa ngeu huwa nakimbilia hapa kuja kuuguliza majeraha. Uzi safi kabisa na usiozalisha ban hovyo hovyo...
Anaogopa ulaini wa kongoro, nahisi ule ulaini unampa kichefuchefu, anahisi kuvomit vomit..Ati nini? Unaogopa ulaini?
Hahahah kazitafute bana zina msabwaxWeka picha [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Tatizo sasa kitu kikinishinda mara moja nakiweka ignore list hahahaa ndo maana hata kujaribu tena siwezHahahaha! Eti ujuzi wa kila aina.
Ungejaribu hata ka mchuzi tu kenye pilipili kichaa na ndimu, naimani hiyo baridi ya leo ingelaza goma..Walahi tena.
Numbisa aliingia katika ligi moja kali na Hance Mtanashati zamani wakati ule nikiwa mtunza kumbukumbu wote wakatandikwa ban hapa hapa. Zaidi ya hao sijui mwingine...Hivi kuna aliyewahi kupata ban kwa Uzi huu?
Ee ulain wa konokono hahahaAti nini? Unaogopa ulaini? Ulaini? Softness?
Mkuu wote tumebaki kungojea mialiko nani ataalika wenzake?Hata mimi sijaalikwa shemeji. Nilitegemea pengine huko kwako nije nikusaidie kuua na kale kanyoka kakorofi ka kwenye veranda lakini kimyaaaa. Nimechemsha birika zima la tangawizi niko hapa nafakamia alone na maisha yanakwenda. Hopefully pasaka yako inakwenda vyema; na uko off leo ukifurahi na "pimbi" wako. Masihi Amefufuka Hallelujah [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ndio,mie hapaHivi kuna aliyewahi kupata ban kwa Uzi huu?
Ilinipita hiyo. Apumzike salama !!!Nadhani ni Membar yule aliyeteka ndege ya ATCL.
Aseee kumbee ni Electrical EngineerHomework za Ms. Electrical Engineering unafikiri ni za kuchezea?
Hivi kuna aliyewahi kupata ban kwa Uzi huu?
Basi sawa,Tatizo sasa kitu kikinishinda mara moja nakiweka ignore list hahahaa ndo maana hata kujaribu tena siwez
[emoji23] [emoji23] asante mwamtumu sahaleNa kwako pia maza kate
Yupo kwenye mafaili ya CHAWAMITA hapa tangu enzi akiwa mweusi bila msambwanda mpaka alipojichubua na kushindilia nyama makalioni...Hahahah kazitafute bana zina msabwax
Anaweza kujiajiri pia na akafanya makubwa, safi sanaKumbe ni mtu wa EE huyu eh! Ajira zake bwelele na mshahara mnono sana.
Otieno moro jawali lemo ochamosaho neno dhiho gethumani gija ote nemamoko,
Yesu lee, jaela Yesu oting'o twoche,
Yesu kaocho ndulwokuno msalaba giminyila
Kalivari ne gigulo lwodha Yesu ping'ilichinya ping'iling'inyi weipala welolombe.
Anaweza kujiajiri pia na akafanya makubwa, safi sana