Uwe na usiku mwemaPoa kabisa! Basi uwe na siku njema! [emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124]
KabisaaaNsansa, Nswalu mboga tamu sana.
Enzi hizo nyimbo zilikua na burudan ya nguvuNaona leo upo kwenye Uhenga
Hazichuji kabisa, Tumezikuta na tunaendelea kuzifaidi....Enzi hizo nyimbo zilikua na burudan ya nguvu
Ikubi lya sili? Nyeusiiii. Ikiungwa na samli ikatiwa na tukaranga tulitosagwa basi bonge la ugali hata liwe kubwa namna gani mbele ya wanaume litateketea tu...
Hilo jina nadhani linatumika huko mijini kwa sababu huku Koromije orijino sijalisikia. Andaeitini hapo kafurahi kaona kanipata kweli kweli ...Asante kwa ufafanuzi !!!