Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
Hahahaahhahha!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuota sio dhambi
Hahahaahhahha!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuota sio dhambi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Linapofikia suala la kuisaka hazina, kila mwanaume ni genius. Yaani haisumbui kabisa kuifikia! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Yaani walishindwa kabisa kupata hata kagoli kamoja aisee.Wale kweli ni vibibi vizee wa Turin
HahahahahaShushushu wewe. Mi nimeanza kukuogopa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Usiyejulikana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha!!!
Eti shushushu..Hapana mkuu..
Indeed juve fans baada ya game walisimama na kumpa heshima kubwa sana CR7 kwa goli hiloSuperb!!
Hahahahaha mkuu acha uoga huo ni mwenzetu kwenye uzi wetuKikoromije hawezi kunitoa knockout ila kidogo ni mtu wa ajabu. Anafahamu karibu lugha zote zinazozungumzwa na memba wa uzi huu; na za kimataifa. Nimeanza kuwa na wasiwasi naye aisee na naendelea kukana tena na tena kuwa ni binti. Ukizubaa huyu anaondoka nawe aisee kwenda kusikojulikana tena mchana kweupeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni keNaweza pata mwanafunzi tukashindwa kuelewana lugha,, hivyo inanibidi nitafute mbinu mbadala..nayo ni kujitahidi kufahamu hata kasalamu tu ka lugha yake..[emoji28][emoji28][emoji28].
Nakataa kwa mara nyingine tena, mimi sio me.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kitu imekuwa inanitafuna akili yangu. Kuna wakati huyu mtu mwandiko wake ni wa kiume kabisaaaaa! [emoji23][emoji23]
Aisee anajua lugha zote hizoKijita, Kisukuma, Kikerewe, Kijaluo (siyo Kibantu), Kikurya, Kinyakyusa, Kinyamwezi, Kihaya...Kihispania, Kiingereza, Kifaransa....na zinginezo kibao zote unazifahamu tena kwa undani, wewe mtu wa aina gani mkuu?
100%Wewe ni ke
HahahahahaHahaa, unataka nikang’olewe meno kwa plier wewe; Nimestuka! Kuna zile siku za mwanzo aliniita, msubhati! [emoji23][emoji23]