mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Liverpool 3 Man City 0Hapana hizo sijawah bet huko
Liverpool 3 Man City 0Hapana hizo sijawah bet huko
Jana kaua vibayaNi John Bocco
[emoji28][emoji28]Hata hili litamwacha hoi[emoji12] [emoji12]
Hapo pabayaBocoo kawa kama Mohammed Sallah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Liverpool vs MC today
Salama, kwako jeMkuu habari za asbh
Habari za asbh MkuuBilionea Asigwa ndugu yako kashapata huku,
Wewe unasemaje mzee ???
Good morning ledadaGod's plan
Soka la bongo full kizungumkutiKipa Kissu alilalamikia uamuzi wa mashabiki hao kuiba taulo lake baada ya mchezso kumalizika, huku akidai kwamba yeye hakuona kama linazuia mabao, bali lilikuwa likimsaidia kujifuta jasho.
Aliongeza kuwa hata kipa Aishi Manura wa Simba amekuwa na utamaduni wa kutumia taulo kwa ajili ya kujifuta jasho, lakini hakukutana na kadhia aliyoipata.
HahahahahaHuhuhuhuhu
Kweli kwa tanzania hii iliyojaa viwonder angepewa hizo kesi asingeamini na roho yake
Sasa kama nchi inaongozwa na Jiwe unategemea niniAngeulizwa Hivi wewe ndiyo Mkarimu sana eeh ??
Wale kweli ni vibibi vizee wa TurinJuve leo hapumui
Hahahahhah!Liverpol 0 man city 2
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuota sio dhambiLiverpool 3 Man City 0
Kama hajawahi basi huyo si mkerewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha!!
Kweli kabisa, hivi ulishawahi sikia "Jinswi jisalile"
Hapo sijaelewa kabisaaa