Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nipo njiani naelekea kanisani kutoa ushuhuda.. Hii ni week ya Pili sasa tangu nikutane na binti mmoja hivi wa chuo cha MZUMBE natukapeana namba za simu.. Kila siku tunachati vizuri kabisa hata iwe watsapp tunatumiana na picha usiku.. Kinachonishangaza mpaka sasa week ya pili, huyu binti hajawai KUOMBA VOCHA WALA KUSEMA NIMRUSHIE TGO PESA. ''.. Imenishangaza mno.. Nawajua wadada wa vyuo tabia zao zilivyo.. Ndio maana naenda kutoa ushuhuda kanisani kuwa... NIMEKUTANA NA MALAIKA AKIWA KTK UMBO LA MWANACHUO.[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ibada ilipo karibia kuisha mhubiri akauliza; "anaye taka kuokoka anyoshe mkono!" watu wote kimya. Tajiri mmoja akapita mbele akasema; "jamani mhubiri anauliza anaye taka kuokoka anyoshe mkono! "mtoto mmoja akanyosha mkono. Tajiri akampa yule mtoto laki 3
Akawageukia waumini akauliza tena; anaye taka kuokoka anyoshe mkono" waumini wotee wakanyosha mikono, cha kushangaza alipo geuka nyuma akakuta mhubiri naye kanyosha mkono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Shikamoo_pesa[emoji119][emoji119]
Hahahahaha
 
Sis, sioni likes zako. Nipo kwenye ignore list ama? Just checking [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️View attachment 733272
Ignore list tangu lini mkuu my Queen ameacha hizo Siku hizi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Utasikia "beibiiii nime kuhamu jamaniii"...
Uje japo "unitie machoni"....
Au nikuje huko " my"....

Baada ya muda....
"Beibiiii nikuambie kitu?!!"...
Say yes "pulzzzz"...
Nitumie hela ya saluni elfu 30 " tu"....

Baada muda tena

"Beibiiii senkyuuuu" nimetoka "mmwaaa"...
Ila tumbo linaniuma,nije hivyo hivyo?!!...
Ni tumbo la "period" tangu jana...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nimecheka sana wanaume tumeumbwa mateso mateso kuhangaika[emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji443] [emoji444]
 
Back
Top Bottom