mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahaha shimba unavyoongelea Liverpool ni mabingwa Mara 19 EPL Mara 5 ulaya acha kabisa hii timuMpira ndivyo ulivyo sometimes. Ni sawa na Man U siku moja watakapochapwa tano kavu na Aseno.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Huwezi Kuchezesha Pua Yako Kulia Na Kushoto
(Sijasema ujaribu kufanya zoezi hili)
Hahahahaha kawaida tu man city EPL kafungwa mechi moja tu na alifungwa na liver sisi hatari sana
Samahani kiongozi, niliku "kwotua" kimakosa.Samahani kwa usumbufu ulio jitokeza[emoji120] [emoji120]sijakuelewa mkuu
Dah! Acha kabisa mkuuLife is a bitch! Huwezi kuamini ya kwamba hii picha ni ya kweli, na inaonyesha uhalisia wa maisha ya mtu hapo; In real World yaani! Very sad!