Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ingia ujionee
 
Michael Jackson alifikiwa na umati mwaka 2009 kwa madai ya kwamba alikataa kuendelea kuabudu na kuitumikia jamii na jumuiya ya siri ya illuminati, kwa kuwa aliitumikia muda mrefu sana tangu akiwa na umri wa miaka 13 kwa ushawishi wa meneja wake wa kizungu Bernard mcclough na illuminati walitaka kumpandisha cheo kikubwa lakini kwa ukaidi wa Michael Jackson ndipo walipo amua kumchukulia hatua kali dhidi yake.
 
Jumuiya ya siri ya illuminati, imeamua kumuapisha na kumpandisha cheo msanii nguli wa hip hop nchini marekani Shawn carter anayefahamika kama JAY Z kuwa msemaji na katibu mkuu wa chama cha illuminati, akifuatiwa na wasaidizi wake rihanna na mkewe Beyonce, vile vile malkia Elizabeth II wa uingereza ni mwenyekiti wa chama cha illuminati,

Mwenye chama cha illuminati ambaye ni Adam weishaupt ametoa uridhi kwa John David Rockefeller na familia ya Rothschild.

Ndiyo maana ukitizama video nyingi za jay z anamtaja Rockefeller na hata kampuni ya nguo ya jay z inaitwa roc - a - wear vile vile studio yake inaitwa Roca nation studio.

Neno Roca imetokana na Rockefeller.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…