Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.Atletico Madrid imefika fainali ya uefa mara mbili tu, ya kwanza ikiwa mwaka 1974 dhidi ya Bayern munich ambapo mechi iliisha kwa sare ya moja kwa moja na kuamuliwa irudiwe siku mbili baadae na Bayern kushinda 4-0. Ya pili ilikuwa ya mwaka 2014 ambapo walicheza dhidi ya r.madrid na real kushinda mabao 4-1.
 
Kwani wewe ni muoaji au muolewaji???
 
Ila kwa mizinga tu wapo vizuri[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Safari ya kutoka Afrika kwenda bara linguine imekuwa ikichukuliwa kama bahati, na mtu anayekwenda Ulaya, marekani au hata afrika ya kusini amekuwa akionekana kama amepiga hatua kubwa na pengine amashapiga teke umasikini. Hebu tuliangalie kwa jicho la Pili, Je wajua walioko Nje ya nchi wanafanya Kazi zipi? Sitaki kwenda sana Huko (Maana nagusa “ajira” za watu), lakini ukweli ni kwamba, Wengi wa ndugu na jamaa zetu walioko nje wana Maisha Magumu, lakini pia kuna kundi kubwa la watu wenye uwezo wa kielimu na kipato cha kuweza kuisaidia nchi yao lakini suala la kurudi nyumbani ni “ndoto” kwao. Wengi wanakwamishwa ni vitu vifuatavyo 10.
 
Ntawezaje kurudi “bongo” wakati sijafanikiwa?
Hii hasa ni kwa wale wasiokuwa na ajira rasmi huko walipo. Pengine wanaelimu ya kutosha ila wakishafikiria ndugu zao nyumbani, matarajio waliyonayo juu ya kijana wao aliye nje, wanakata tamaa ya kurudi na kusubiri pengine hali itakapokuwa nzuri angalau kupata kidogo atakachoweza kununua zawadi kadhaa kwa ajili ya lile kundi litakalompoke airport!.
 
Duh !!!
 
Ntakwepa vipi tatizo la kuombwa hela na Kuchukuliwa kama Mtu wa Kawaida?
Uwe una kipato au huna kipato, Suala ni umetoka nje ya nchi lazima utakuwa na hela, una akili sana na ukisema huna hela, basi utaulizwa ulienda kufanya nini ulaya? Hivyo ukirudi toka nje ya nchi tegemea kukabidhiwa majukumu makubwa na hili ndilo linafanya watu kutotaka kurudi nyumbani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…