Basi mkuu yapotezeeni.Hivi aliyeanza personal attack kati yake na mimi ni nani!? Kwa mamlaka gani aliyokuwa nayo humu ya kunizuia kuandika kile nikitakacho kuandika? Umeona aliniamvia get help? Nipate msaada kwa lipi hasa!?
Kama kuna mtu hapendi ninachoandika humu tushindane kwa hoja siyo kutaka kunizuia kile nilichoandika au kuniambia nitafute msaada. Sihitaji msaada wowote ule.
Mkuki ukiwa mchungu kwa nguruwe basi uwe mchungu pia kwa binadamu.
Nakuamini sana.Hivi aliyeanza personal attack kati yake na mimi ni nani!? Kwa mamlaka gani aliyokuwa nayo humu ya kunizuia kuandika kile nikitakacho kuandika? Umeona aliniamvia get help? Nipate msaada kwa lipi hasa!?
Kama kuna mtu hapendi ninachoandika humu tushindane kwa hoja siyo kutaka kunizuia kile nilichoandika au kuniambia nitafute msaada. Sihitaji msaada wowote ule.
Mkuki ukiwa mchungu kwa nguruwe basi uwe mchungu pia kwa binadamu.
Basi mkuu yapotezeeni.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Amani itawale. Tuendelee kupeana likes.Shukrani inauma sana Pyaar, pamoja na kuwa sijaguswa binafsi na huu udhalimu na dhuluma za kutisha zinazoendelea nchini lakini mimi binafsi siwezi kukaa kimya. Shukrani sana.
[emoji3][emoji3][emoji3], mie mama alikuwa ananikata jicho tu, najiongeza kuwa hapo si salama.Kuna aliyewahi kula kichapo kwa kula kwa majirani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 735295
Hukuwahi hata kufinywa?[emoji3][emoji3][emoji3], mie mama alikuwa ananikata jicho tu, najiongeza kuwa hapo si salama.
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 735310
Hahaahaha! Aliwahi kunichapa baada ya kuona sielewi.Hukuwahi hata kufinywa?