Umeamkaje BAK?Good morning ledada
Umeamka salama Mr wenu?Good morning
Umeamkaje BAK?
Yupi huyoBee mwantumu sahale[emoji112]
Nimeamka salamaUmeamka salama Mr wenu?
Ndo imeshatoka hiyo BAKNiko poa ledada namshukru Mwenyezi Mungu. Vipi weye unarudi tena kwa kitanda kuuchapa au ndiyo imeshatoka?
Morning mwifwaMorning wanalikes
Mkuu uhali gai?Niko poa ledada namshukru Mwenyezi Mungu. Vipi weye unarudi tena kwa kitanda kuuchapa au ndiyo imeshatoka?
Huyo carbaYupi huyo
Yes, it is correct.That's why it is very important to get a very good massage at lest 3 times a week on each part of those areas.
Mkuu uhali gai?
KumbeeHuyo carba
Morning ledadaMorning mwifwa
Yes, it is correct.
AiseeeMazoezi muhimu Mkuu ni lazima mwili uwe flexible kwenye yale mambo yetu.
Aiseee
Naam mkuu niko salama salimini namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunijalia pumzi hadi muda huu.Niko Bomba Mkuu namshukuru Mwenyezi Mungu. Vipi weye Mkuu? Kumbe shem wangu yumo humo? Jana nimemuona kwenye uzi mmoja nikahisi ndiye yeye kutokana na mwandiko wake ila sikuwa na uhakika wa 110%