[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanaume wa Dar mkiitwa kwa RC Makonda kuhusu kutelekeza watoto, tumia hizo points [emoji116][emoji116][emoji116] [emoji21][emoji21] utashinda tu kesi..
Land alienation
Forced Labour
Low wages
Poor technology
Poor infrastructure
Lack of education
Unemployment
Taxation
Yaani hizi points huwa hazikataagi swali hata kama unaelezea kwanini YUDA alimsaliti YESU..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duniani hapa tunapita tu kwa kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yaan dah maisha haya
[emoji28][emoji28][emoji28]Kisha nikaona. Joka jeupe lenye vichwa saba na ndimi tisa ziwakazo moto wenye kutisha. Sauti ya baragumu kuu ikatoka katika kiti cha enzi mbele ya wale wazee 24....
Baadhi ya vitabu vya nabii Ellen G. White havifai kuvisoma usiku.
Mambo AsigwaNakuona
Nakuona
Wakipatana utakuja kusutwa hadi ushangae[emoji38] [emoji38] View attachment 739348
Kumbe wewe ni muoga eeh??Kisha nikaona. Joka jeupe lenye vichwa saba na ndimi tisa ziwakazo moto wenye kutisha. Sauti ya baragumu kuu ikatoka katika kiti cha enzi mbele ya wale wazee 24....
Baadhi ya vitabu vya nabii Ellen G. White havifai kuvisoma usiku.
Huhuhuhu na kipigo juuWakipatana utakuja kusutwa hadi ushangae
Safi sana LedadaMambo Asigwa