Maisha ni kufurahi ndugu yangu, tusilale na mizigo vifuani mwetu.Tuwaachie nafasi malaika wa kutulaza na kutuotesha njozi za kutufundisha jinsi ya kuwa na hekima na busara.Andjul yaani wewe ni mchokozi kweli kweli walahi!
Hahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimesema tusaidiane,chomekeamo na wewe basiKipindi chake bado kinaendelea kwenye TV?...
Huyo hapo mkuu. Endelea kunipigania niachiliwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Busara hizo. Na tusiwekane kwenye ignore list jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha ni kufurahi ndugu yangu, tusilale na mizigo vifuani mwetu.Tuwaachie nafasi malaika wa kutulaza na kutuotesha njozi za kutufundisha jinsi ya kuwa na hekima na busara.
Nikikukwaza usikasirike,sina kwa kwenda ndugu yangu.
Duh! Imekuwa hivi?
Ila hili jamaa sijui lina nini. Ni kama vile liko immune na haya maskandali...
Cha ajabu poll #s kwa hillibillies wapiga kura wake ndo zinazidi kupanda. Zamani skendo kama hizi zilitosha kumwachisha mtu uraisi na au kumkosesha ushindi. Lakini lenyewe limo tu...Kuna kona watambana tu. FBI wameamua kula nae sahani moja, alijiona yuko juu ya sheria lakini jamaa wamemkomalia hasa! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zaliiiii !!!
Mama Abdallah akiniibukia kwa Makonda nitamshangaa sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani wanaelewekaga hawa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe hukosi! [emoji23][emoji23]
Cha ajabu poll #s kwa hillibillies wapiga kura wake ndo zinazidi kupanda. Zamani skendo kama hizi zilitosha kumwachisha mtu uraisi na au kumkosesha ushindi. Lakini lenyewe limo tu...
Hahahahahahaaaaaaaa[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Busara hizo. Na tusiwekane kwenye ignore list jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...
Alivyoondoka na makengele yake ndo ikawa jumlaaaa jumlaaa...
Arasii wee nisaidie tu kikadi nimfuate huko huko na mimi natamani kupanda " kipita juu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap!!! Mwajuma/Mama Abdalla huyo kwa Tv "namtafuta bwana angu Shimba ila jina la mbele hakuniambia,nina mtoto wake, anitumie hela tu matumizi ntapanga mwenyewe"
Pyaar[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Jizazi....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara oooh.. akaniambia ngoja nikatafute maisha huko Mbagala,nikifanikiwa nitakutumia "kadi ya kliniki"... Nikasema sawa mume wangu...
Alivyoondoka na makengele yake ndo ikawa jumlaaaa jumlaaa...
Arasii wee nisaidie tu kikadi nimfuate huko huko na mimi natamani kupanda " kipita juu"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mara paaap!!! Mwajuma/Mama Abdalla huyo kwa Tv "namtafuta bwana angu Shimba ila jina la mbele hakuniambia,nina mtoto wake, anitumie hela tu matumizi ntapanga mwenyewe"
Hivi huko nako kuna kipindi kunakuwaga kugumu(kisiasa) kihivyo?Wale wabaguzi tu, na hao Evangelical ndio bure kabisa! Hao Wabaguzi wa huko vijijini acha Mchina akaze vyuma, sijui watauza wapi hao nguruwe na mazao mengine! Mchina keshasema ameanza kufanya mchakato kuyapata hayo mahitaji yake kutoka Latin America, hasa Brazil!
Aisee mtu anaweza kuamua kukuchafua hata bila kosa yaani. Maisha ya kwetu huku uswahilini tunayajuaga wenyeweHahaa! Shimba hatapaona pa kujificha! Haya mambo haya! [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 739903
wayaaaaa, waleteee... huku Jupiter matangazo ndio yanawasilia, dk 33 sasa, City anaongoza 2-0
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 739905
Tayari watu wa Trump wanasema anatishia tu eti ili kupata leverage wakianza majadiliano. Wachina wajanja sana. Yeye anahangaika kuwekea tarrifs aluminum wenyewe wanawekea pork kule Iowa, Ginseng Wisconsin na mazao mengine ya ma hillibillies. Very strategic yaani...Wale wabaguzi tu, na hao Evangelical ndio bure kabisa! Hao Wabaguzi wa huko vijijini acha Mchina akaze vyuma, sijui watauza wapi hao nguruwe na mazao mengine! Mchina keshasema ameanza kufanya mchakato kuyapata hayo mahitaji yake kutoka Latin America, hasa Brazil!