Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu unajua watu wanafikiri mbwembwe zetu na matani ya humu ndivyo tulivyo in real life. Wroooooooooooong [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] muda wenyewe utoke wapi! Tutahukumiwa kwa mabandiko yetu. Siku njema na kwako pia[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Mama mmoja alisema kuwa hana furaha na nyumba yake anaishi na familia kubwa , Ana watoto na ndugu wa pande zote nyumbani. Hapo ndani hakuna furaha hata kidogo. Kila upande nikigeuka kuna mtu , sipumui vizuri, sina uhuru. Sina amani na familia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…