Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

List ikitoka utashangaa kuna mtu anatafutwa hapo kuharibiwa
 
Shithole politics in Trump voice[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nani kakuweka kwenye ignore list mkuu
Ni utani tu mkuu kama kawaida. Niwe kwenye ignore list ya mtu nisiwe hainipunguzii wala kuniongezea cho chote. Binafsi nilishasema kuwa sitamweka mtu kwenye ignore list kwa sababu kufanya hivyo mara nyingi ni dalili ya kutawaliwa na mihemko, kukosa uvumilivu kwa mawazo kinzani, kutokomaa na self-righteousness-all dangerous traits for an open mind. Tuendelee kukamata likes na kufurahi kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Yaani lina bahati sana hivi ni Rais gani ambaye hajawahi kuwa mwanasiasa au government worker katika historia ya US
Lilifanya timing ya kufa mtu. Sijui na bahati nayo inahusika. Na mpinzani akawa na baggages kibao. Wakalidharau dharau na limevunja karibu kila standard na kanuni walizojiwekea. Republican wenyewe sasa hawajulikani hata wanasimamia nini na wamekazana tu kusema "Trump is not a republican" wakati wanamuunga mkono kwa kila kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…