Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Atinge ubalozi wa China bila shaka watamsaidia....Andjul naona maneno yako yanaanza kutimia... Zamu ya nani????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 740146
wamejaaaMbona hampo
Amun RaNi utani tu mkuu kama kawaida. Niwe kwenye ignore list ya mtu nisiwe hainipunguzii wala kuniongezea cho chote. Binafsi nilishasema kuwa sitamweka mtu kwenye ignore list kwa sababu kufanya hivyo mara nyingi ni dalili ya kutawaliwa na mihemko, kukosa uvumilivu kwa mawazo kinzani, kutokomaa na self-righteousness-all dangerous traits for an open mind. Tuendelee kukamata likes na kufurahi kamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwa kweli jamaniMila zingine kweli ni potofu sometimes wazungu wako sahihi sana kuhusu mambo yetu ya kishenzi
The one and only My QueenOne and only Beef lasagna
AtanogewaaNtajaribu/Ntaonja Kidogo Tuuu!
Shauri yako!
Tatizo la wengi hili. Ajabu kesho yenyewe yaweza isifike...7. Kesho
Hakuna neno la uongo kama neno “kesho” wengi wetu huwa wavivu na kujipa moyo kwa kuwa tu kuna kesho! Tutaacha viporo vya kazi, masomo n kusahau kwamba kesho bora ni ile itakayozalisha kitu chake na si itakayofanya mambo ya leo!
Hahahahaha kweli mkuu linabahati sanaLilifanya timing ya kufa mtu. Sijui na bahati nayo inahusika. Na mpinzani akawa na baggages kibao. Wakalidharau dharau na limevunja karibu kila standard na kanuni walizojiwekea. Republican wenyewe sasa hawajulikani hata wanasimamia nini na wamekazana tu kusema "Trump is not a republican" wakati wanamuunga mkono kwa kila kitu...