mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimestuka tu mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimestuka tu mkuu
Upendo na utulivuVidumu milele
Ona sasa unavyojichanganya.Toka koromijeView attachment 740630
Mzee wa pipi za usikuHahaaa basi sawa
Yaani na "dadii" Huko aliko anakuna kidevu huku akitabasamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jakitoooooooo cha kudeka...
"Dadii kalale,utaumwa..."
Inawezekana kweli ama si kweli DNA inatabidi ihusike mzee wa mondoli hii kashfa kubwa sana kwakeHuu ndo wakati wa kutafuta kiki
Lakini kwa nini hakujitokeza wakati wa uchaguzi uliopita mbona angepata mapesa mingi sanaHuu ndo wakati wa kutafuta kiki
Unanifurahisha..Majukumu yanabana sana
Hivi unapajua call me jay[emoji23][emoji23][emoji23]yaani huwa nacheka kweli na wakati mwingine huwa nafanya kusudi nione utasemaje.
Nasubiri kuzungushwa koromije[emoji126][emoji126][emoji126]