Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1523351976591.jpg
 
Hii inanitokea mara nyingi sana tena hasa nikiwa kwenye huu uzi.
Unaonekana ni chizi kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole
 
Hapa busara itumike waache kumchafua lowassa wa watu,huyo mdada keshakua mkubwa hayupo rika la watoto
Indeed sidhani kwa utajiri wote alionao na kuingia kwenye presidential election kufanya kosa kama hilo mama yake embu ajitokeze tuone mbona hii ingekuwa ajenda kubwa sana kwenye uchaguzi uliopita
 
Back
Top Bottom