Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1523347681435.jpg
 
Ona sasa unavyojichanganya.
Huyu kasinyaa hivi anatoka Koromije ya wapi huyu?
Koromije watu wanafanya kazi na kula ugali wa uhakika...
Mijibaba yenye misuli hasa igembesabo
Huyu likely ni mwanaume wa Dar au ni mtu wa Mwakaleli huyu...
Anashindia ndizi....
Eti mwanaume wa dar
Ila wanaume wa dar si wanatokea mikoani?[emoji125][emoji125][emoji125]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo ukute sasa SAKSAFONI (sijui nimepatia) ni ya haja
Mamaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!![emoji41][emoji41]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] Akianguka vibaya kwa kutereza linatokeaga kwenye paja.Na kapicha ninako....
 
Back
Top Bottom