carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ndo mimi nashangaa,miaka yote alikiwa wapi?Lakini kwa nini hakujitokeza wakati wa uchaguzi uliopita mbona angepata mapesa mingi sana
Ndo mimi nashangaa,miaka yote alikiwa wapi?Lakini kwa nini hakujitokeza wakati wa uchaguzi uliopita mbona angepata mapesa mingi sana
Ben10 wa mama unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unapajua call me jay
Sijui wakoje,angetulizana tu huko alipokua anaishi,mfano mhe angekua maskin angemtafuta hivyo?Siasa za kuchafuana hizi,na kama anasingiziwa watasafishaje jinalake?
Sio maneno yangu hayo,nimemnukuu Shimba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akiii shemeji nimekushindwa
4.Umekutana na mtu hujaonana nae mda mrefu, unataka kumkumbatia halafu yeye anakupa mkono
Sidhani ustawi wa Jamii ndio kitengo maalum kwa ajili ya hilo Mtoto akizaliwa na upati matunzo mama una haki ya kwenda kumshitaki ustawi wa Jamii ama Mahakamani hili muhusika awajibike anachokifanya RC kipo kinyume na sheria itakula kwao believe meAcheni kuweka kila kitu kama siasa bhana,labda jamaa analengo la kutoa msaada kweli
Alikuwepo..hajatelekezwa...amefanywa 'miundo mbinu'Ndo mimi nashangaa,miaka yote alikiwa wapi?
Njoo kwenye ghetto langu nikuonyeshe...Weka picha ya hayo makovu niamini[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kagoma naona hakuona hii commentAkiweka nitag[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Duh!!!Njoo kwenye ghetto langu nikuonyeshe...
Umemiss nini sanaaaNimewamiss sana
Yaani sasa hivi tumepumzika la sivyo wangeanza
Mara dadii,mamaa,sijui babe,mara mupenzi,walikuwa wananichosha khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwakaleli hatuvaagi magauni ya kwenye jumuia/kitulano. Huyo wa huko hukoOna sasa unavyojichanganya.
Huyu kasinyaa hivi anatoka Koromije ya wapi huyu?
Koromije watu wanafanya kazi na kula ugali wa uhakika...
Mijibaba yenye misuli hasa igembesabo
Huyu likely ni mwanaume wa Dar au ni mtu wa Mwakaleli huyu...
Anashindia ndizi....