myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Toa nawe upate
Kwenye influence hakuna cha uhenga wala uandaeitini. Ushawishi na bashasha (charisma) ni vitu ambavyo mtu unazaliwa navyo na wewe na Carba mnavyo. Historia ina mifano tele ya majenerali na viongozi wakubwa waliofanya mengi mazuri wakiwa bado wadogo. Tena ikiwezekana we na Carba anzisheni consulting firm inayojihusisha na kumotiveti pamoja na kushauri maCEO wa makampuni makubwa makubwa, viongozi wa dini pamoja na wanasiasa; na mtapiga hela nzuri tu. Influence yenu kwangu ni kubwa mno.....Unatusingizia yaan mhenga kabisaaaaaaaa tukufundishe sieeee ila shukran mzee wa 53yrs alikupunguzia ka daraja ka uhenga[emoji23][emoji23][emoji23]
Weeeee...Mzee baba kanywe basi ukuje hata usiku wa manane,ubuyu muhimu huu[emoji23][emoji23][emoji23] hope utatunza na mkojo wa uchochezi
Kuandika virahisi kuliko vitendo acha tuishie humu humu JF na maisha yanasonga vizuri tuKwenye influence hakuna cha uhenga wala uandaeitini. Ushawishi na bashasha (charisma) ni vitu ambavyo mtu unazaliwa navyo na wewe na Carba mnavyo. Historia ina mifano tele ya majenerali na viongozi wakubwa waliofanya mengi mazuri wakiwa bado wadogo. Tena ikiwezekana we na Carba anzisheni consulting firm inayojihusisha na kumotiveti pamoja na kushauri maCEO wa makampuni makubwa makubwa, viongozi wa dini pamoja na wanasiasa; na mtapiga hela nzuri tu. Influence yenu kwangu ni kubwa mno.....
(Mhenga wa 53 yrs old nadhani tangu ID zake zingine zijulikane kapotea. Pole zake)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeeee...
Mbeya nimekuta ni baridi,sinywi maji kabisaaa...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] watanikamua damu shuaini wale
Nione ulichokisema[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ili uone nini?Unahangaika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AmenBaadaye kidogo wakuu....
Asanteni kwa vicheko na burudani....
Mungu Awabariki sana.
As far as I am concerned, YOU ARE FAMILY....
Unitunzie sikirini shoti tuMzee baba kanywe basi ukuje hata usiku wa manane,ubuyu muhimu huu[emoji23][emoji23][emoji23] hope utatunza na mkojo wa uchochezi
Mie tena ntatunza za kutoshaUnitunzie sikirini shoti tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] na utataka uchomeke kabisaNione ulichokisema[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]