Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Komenti zako za juzi na carba sikuamini kama ni mwandiko wako,ikanibidi nirudi nyuma hadi mwezi wa juni/julai, kijana wangu mpole wa kipindi hicho,mwepesi wa kukimbia mabishano,kila mara neno la Mungu.
Leo hii umekutana na hao tuu idioti(wamembadilisha hadi Yegomasika maskini kijana alikuwa mpole) sijui una waita Numbisa na carba... Umekuwa jasiri hadi nashangaa,kijana unajimwaya mwaya huku na huko kwa raha zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rolo modo wangu hasa ndo kaniharibu. Carba yeye kazi yake kuchochea tu yaani ndo nazidi kabisa kuharibika malezi yote mema kwishnei. Ndiyo maana nimekuwa nikisema hapa mara kwa mara kuwa kimdabuo cha pamoja kinawahusu ili nigiradueti kabisa....They should finish what they started....
 
Unatusingizia yaan mhenga kabisaaaaaaaa tukufundishe sieeee ila shukran mzee wa 53yrs alikupunguzia ka daraja ka uhenga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom