Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ubaya hatusomagi...Sitaki mtu a like hii posti jaribu uone cha moto.... [emoji16] [emoji91] [emoji51]
PamojaNipo safarin nina tatizo la network tupo pamojaaaaaaa
Tutakuwa pamojaaaaa
Dar 2 Dom mniombeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniiiiii in koromije voice nene zito i mean sautiKomenti zako za juzi na carba sikuamini kama ni mwandiko wako,ikanibidi nirudi nyuma hadi mwezi wa juni/julai, kijana wangu mpole wa kipindi hicho,mwepesi wa kukimbia mabishano,kila mara neno la Mungu.
Leo hii umekutana na hao tuu idioti(wamembadilisha hadi Yegomasika maskini kijana alikuwa mpole) sijui una waita Numbisa na carba... Umekuwa jasiri hadi nashangaa,kijana unajimwaya mwaya huku na huko kwa raha zako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona mmoja kapatikana.Inawezekana kweli ama si kweli DNA inatabidi ihusike mzee wa mondoli hii kashfa kubwa sana kwake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lipi tena hiloUnahudhuria kwenye baraza'?
Nimekwambia naja fungua mlango tu nikija nisipaye shida[emoji38][emoji38]Nimeshakwambia njoo ghetto nikuonyeshe halafu ukamsimulie Masaki Peninsula money loves me wallahi Amun Ra
Mia miaKabisaaa,wengi walioenda pale matatizo wamejitakia wenyewe,wachache mno wenye shida ya ukweli pale
[emoji23][emoji23][emoji23]kwani kawekwa huko?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ignore list makazi yako ya kudumu
Siwezi na sitaweza
Yaani nikae naangalia watu wazima wakikimbiza mpira mmoja?hapana kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kawaidaPosti na likes zina maana kwenye Uzi huu...weka likes
Amesema yupoAtasingizia mama hayupo
Unafikiri hata najali basi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ignore list makazi yako ya kudumu