Jamaniiiii[emoji134][emoji134][emoji134]Rolo modo wangu hasa ndo kaniharibu. Carba yeye kazi yake kuchochea tu yaani ndo nazidi kabisa kuharibika malezi yote mema kwishnei. Ndiyo maana nimekuwa nikisema hapa mara kwa mara kuwa kimdabuo cha pamoja kinawahusu ili nigiradueti kabisa....They should finish what they started....
Aisee mnakumbukumbu balaaHalafu nimekumbuka.
Alikataa kuniita baby baada ya kuwekwa kundi la andaeitini[emoji23][emoji23]
Huu uzi unachangamoto zake kwakweli
Uwe na siku njema mkuuBaadaye kidogo wakuu....
Asanteni kwa vicheko na burudani....
Mungu Awabariki sana.
As far as I am concerned, YOU ARE FAMILY....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo mtoko wa nguvuToka koromijeView attachment 740630
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hapo ukute sasa SAKSAFONI (sijui nimepatia) ni ya haja
Mamaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!![emoji41][emoji41]
20 mins to go20:05
Unitunzie sikirini shoti tu
Sijipendi...Mie tena ntatunza za kutosha
Ai emu hambodi yu no[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Kwenye influence hakuna cha uhenga wala uandaeitini. Ushawishi na bashasha (charisma) ni vitu ambavyo mtu unazaliwa navyo na wewe na Carba mnavyo. Historia ina mifano tele ya majenerali na viongozi wakubwa waliofanya mengi mazuri wakiwa bado wadogo. Tena ikiwezekana we na Carba anzisheni consulting firm inayojihusisha na kumotiveti pamoja na kushauri maCEO wa makampuni makubwa makubwa, viongozi wa dini pamoja na wanasiasa; na mtapiga hela nzuri tu. Influence yenu kwangu ni kubwa mno.....
(Mhenga wa 53 yrs old nadhani tangu ID zake zingine zijulikane kapotea. Pole zake)
UnasemaWala usipaone
Ila natamani liva afungwe
Ubarikiwe sana SYBBaadaye kidogo wakuu....
Asanteni kwa vicheko na burudani....
Mungu Awabariki sana.
As far as I am concerned, YOU ARE FAMILY....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniii[emoji125] [emoji125] [emoji125] na utataka uchomeke kabisa
Jakitoo bado yupo kwa ban auYaani sasa hivi tumepumzika la sivyo wangeanza
Mara dadii,mamaa,sijui babe,mara mupenzi,walikuwa wananichosha khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tushakosa ubuyu....Sijipendi...
Watu wenyewe muda wote tupo nao humu humu