Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.Nampenda rafiki yako! Ni mchangamfu sana
Japo hutakuwa na maana yeyote mbaya, lakini maneno hayo huwa ni magumu kwa mwanaume kuyasikia. Ongea maneno hayo pale tu anapoanza yeye kuzungumzia mazuri ya mtu huyo!
 
Nikulipie? (mbele za watu)
Daima mwanaume hupenda aonekane juu ya mwanamke mbele ya watu hata kama ni mnyonge mkiwa peke yenu. Kama unalipa kwa niaba yake, basi fanya kimya kimya au mtumie hata ujumbe mfupi kumuarifu juu ya hilo.
 
Mimi na hiyo timu yako nani bora? (unapomkataza asiende mpirani)
Kama unavyopenda kuhangaikia nywele zako, kucha nk mwanaume nae ana vitu avipendavyo. Daima usimuonyeshe kwamba hicho anachokipenda hakina umuhimu wowote
 
Huwezi Kunifanya lolote (Mbele za watu)
Hata kama ni mnyonge wako mkiwa peke yenu, Mwanaume anaweza kukugeuka na hata kukuumiza endapo tu utaionyesha jamii kwamba yeye ni mnyonge wako!
 
Mpenzi wangu wa zaman alikuwa ananifanyia hivi…
Hakuna mwanaume anaependa kusikia lolote kuhusu mpenzi wa zaman wa mke/msichana wake. Hasa kuzungumzia mazuri kadhaa au kumfananisha na yeye kwa namna yoyote ile.
 
9.Hunipendi kama mtu Fulani anavyompenda mpenzi wake! Au wale wanapendana zaidi kuliko hata sisi!
 
10. Tumia akili/ usiwe mnafiki/ acha uvivu.
Maneno haya yanaweza kuleta ugonvi usioisha hata kama ameshawahi kukuambia maneno hayo pia!
 
Back
Top Bottom