Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Ila wanaume wahenga, wa enzi hizo walikuwa majasiri..
Mtu anajimegea chenza huku matokeo yakisubiriwa kwa hamu huko nje.....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]
Yaani kama Liver na Man City.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na shuka jeupe limetandikwa kupima uzito wa mechi
Wewe mtoto mdogo bado, wahenga tumeelewana.Fafanua tafadhali! [emoji1]
Wewe mtoto mdogo bado, wahenga tumeelewana.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umeelewa bwana.Hebu nieleweshe!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], umeelewa bwana.
Hahaa. Ngoja nipitie txt za nyumaHawa wametekana inasemekana
Yani watu ni baya sana humu ndaniWengi sana:
Yegomasika
Numbisa
Jakitoo
Pyaar
Carbamazepine
Uniq (inasemekana)
Etc. Etc.....
Hata wewe JakitooThithi. Uniq
Najua bado una muwinda Babe S ndio maana huishi kunifuatilia[emoji124] [emoji124] [emoji124] Shimba naomba umrudishe babe S nyumbani...uniq ana mtesa binti yenu.
Hahahahaha sasa Numbisa Madrid si wachumba tu kwa liver
Mkuu labda unasahau This is Liverpool
Anfield ndio machinjio yao