Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fact
Ila muda mwingine mkuu inabidi tuishi kiuhalisia huu msemo unaweza kuupeleka katikanyanja tofauti tofauti za maisha tunayoishi sasa mfano unaweza sema bora kuishi kwa shida ili mradi familia na wanaonitegea watimize malengo yao hapo tunapata kitu kinachoitwa sacrifice naona waenga walipitia mlango huu kutoa msemo hule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…