Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moringe

Nakukumbusha tu, mie sio <18.
Umekosa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ni picha ya marehemu EDWARD Moringe Sokoine. Alifariki miaka 34 iliyo pita.
Tulivyo tangaziwa mstarini kuwa amefariki, tulitawanyika huku tukilia.Jioni wengine tukakusanyika na wakubwa tukawa tuna muangalia kwenye kitabu cha vita vya Kagera (Idi Amini) huku tukikumbushwa alivyo kuja kukagua shamba la kijiji-Tenende.
Swali:- Je, ulikuwa umeanza shule?
 
Aanze shule wapi? Alikuwa hata hajazaliwa. Wote hawa maandaeitini wanaotusumbua humu walikuwa bado...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…