Naona ni nchi nzima ipo gizanTanesco sijui wanampango gani na hili giza
[emoji106][emoji106]Sijafukuaa nilikua natafuta picha flan hivi
Wapi numbisa..
Amen [emoji120]Kweli. Mungu na Atusaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Jamaniiiii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeangalia comment za mwanzon daah carba ulikua unamuita carpa ila tabia ya kupenda mswabwax ulikua nayo sana tu sema ulijitahidi kuificha nimeona comment moja nikaishia kucheka bila kuifukua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si mmenipa kazi ya kuitafuta picha ya surual ya kitambaaJamaniiiii....
Niliona like yako post ya zamani nikakausha. Kumbe ulikuwa unafukua fukua....
Ulifanikiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si mmenipa kazi ya kuitafuta picha ya surual ya kitambaa
Hapana nilikua busy sikusaka sana. Ntajaribu tena weekendUlifanikiwa?