Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeee tena nafuta I'd na kusepa Jf kabisa nikifulia narudi kwa pyaar wangu... [emoji23]
100% 100% 100%[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]7. Kumpata soulmate mara zote sio kwa ajili ya mapenzi tu . Unaweza kumpata soulmate katika urafiki pia
Labda ila daima ukweli ukiwafikia walengwa wataumia,itakua kuna point au mahali wamemkwaza kaamua kuwapa makavu kutoa ya moyonNdiyo maana wengine tumetulia huku. Nikitaniana hapa huko kwingine naenda kuangalia mapovu na ishu ndogo ndogo basi naishia hapo...But again kila mtu na lwake na si sawa kupangiana mambo. Huyo dogo nadhani kuna kitu zaidi kimemkera na siyo hayo mapenzi pekee....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], yaani unijue kwenye shida, raha utumbue mwenyewe...Weeee tena nafuta I'd na kusepa Jf kabisa nikifulia narudi kwa pyaar wangu... [emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Mchongo huo Pyaar usipuuzie. Ukiwa star sidhani hata kama utaukumbuka uzi huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]