mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wachina noma wana acha mbegu kila konaMuzungu na mchina huoana...japaniz mwafrika vilevile[emoji444][emoji441]
Nikumbushe shem puliziii yawezekana sikusikiaJana nilikwambia kitu. Sijui hukunisikia? Jizazi [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji122][emoji122]
AdiousSamba mapangala ..
Wacha nikusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] tanescooo sio vizuri nacheka kwa huzuni
Huyu hapaMimi sijamuona my
Wacha Liverpool tukamsulubu muwe wao barcaRome, Italia. Kipigo cha Barcelona cha mabao 3-0 ugenini kutoka kwa Roma kimeingia katika orodha ya majanga yaliyoikutaka klabu hiyo ya Catalan.
Barca ilishinda 4-1 nyumbani, lakini wameanga mashindano jambo litakalobaki kwa mashabiki wake kwa muda mrefu.
Hii mpya kwanguWakati Lionel Messi anapofunga mji wa Barcelona hutetemeka. Wanasayansi waliweka vifaa vya kupima tetemeko la ardhi katika uwanja wa Camp Nou na kufanikiwa kupima mitetemeko ya ardhi kila nyota huyo wa Barcelona anapofunga.
DuAthari ya mabao yake huonekana katika data kila wakati mashabiki wanaposheherekea kwa kuruka juu na chini uwanjani.