Carba jipige pige ununue pawa benki itakusave muda kama huuTanesco wameroga huku kwetu nasikitika kuukosa huu ubuyu[emoji22][emoji22][emoji22]
Ninayo halafu jana nilisahau kuichaji[emoji24][emoji24]Carba jipige pige ununue pawa benki itakusave muda kama huu
Mfungwe tena na leo[emoji12][emoji12]View attachment 744384
[emoji123]
Juzi ilikuwa Mshana Jr leo naona kokoro limetukumba wanaume wote. Mrs. Jr naona tayari moto keshauwasha huko.Kutoka kwa Somo: wanaume wa JF ya sasa waache utoto!
Kumekucha mtaa wa jirani
Yale mambo yanayohusu lile swali la Kijana Mpole ndiyo huwa yananitoa kwenye mstari. ASANTE !!!Nimelipenda gazeti ni miezi mingi haujafafanua kitu murua kama hiki keep it shimba upo vizuri
Kwema kabisa. Kuna joto na humidity ya kufa. Kilimo cha watoto ziiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha niende[emoji23][emoji23]
Kumekuchaje huko shem?
Mfungwe tena na leo[emoji12][emoji12]
Tuko pamoja bro...Ahahaha, hamna haja ya samahan hapo brotherhood, nikupe tu hongera maana wewe mwandishi mzuri sana na asanteh kwa ufafanuzi yakinifu......
[emoji16] [emoji16] [emoji16] hicho kilimo mavuno yake mwsho wa mwaka na mwanzoni wa mwaka ujaoKwema kabisa. Kuna joto na humidity ya kufa. Kilimo cha watoto ziiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
City kapoteza mwelekeo,,,sare ni ushind wake mkubwa leoView attachment 744384
[emoji123]
Polee tutakuskrinishutiaaTanesco wameroga huku kwetu nasikitika kuukosa huu ubuyu[emoji22][emoji22][emoji22]
Yes bado watu wengi hawajielewi na wanakurupukaJuzi ilikuwa Mshana Jr leo naona kokoro limetukumba wanaume wote. Mrs. Jr naona tayari moto keshauwasha huko.
Na nyie mabinti sometimes haya mambo mnajiletea tu wenyewe. Mbona usijipe muda wa kumwelewa kwanza mtu ndiyo uchukue maamuzi ya kwenda kuonana naye? Na kwa nini umtumie picha zako za uchi mtu ambaye humwelewi sawasawa? Hata kama unamwelewa sawasawa, kuna ulazima wa kufanya hivyo? Faida yake ni nini?
Mimi naamini kabisa kuwa haya mambo yanafanywa na maandaeitini (vijana below 25). Wengi wapo mashuleni na vyuoni huko na huu ndiyo wakati wao wa kupitia hiki kipindi. Siamini kuwa mtu mzima ( above 34) anaweza kuja humu na kuanzisha uzi wa kumdhalilisha binti wa watu no matter what.
City kapoteza mwelekeo,,,sare ni ushind wake mkubwa leo
[emoji16] [emoji16] ngoja tuoneMpira dakika 90 Mkuu! [emoji1][emoji1]
Mimi wakati mqingine hata sielewi kwakweli.Juzi ilikuwa Mshana Jr leo naona kokoro limetukumba wanaume wote. Mrs. Jr naona tayari moto keshauwasha huko.
Na nyie mabinti sometimes haya mambo mnajiletea tu wenyewe. Mbona usijipe muda wa kumwelewa kwanza mtu ndiyo uchukue maamuzi ya kwenda kuonana naye? Na kwa nini umtumie picha zako za uchi mtu ambaye humwelewi sawasawa? Hata kama unamwelewa sawasawa, kuna ulazima wa kufanya hivyo? Faida yake ni nini?
Mimi naamini kabisa kuwa haya mambo yanafanywa na maandaeitini (vijana below 25). Wengi wapo mashuleni na vyuoni huko na huu ndiyo wakati wao wa kupitia hiki kipindi. Siamini kuwa mtu mzima ( above 34) anaweza kuja humu na kuanzisha uzi wa kumdhalilisha binti wa watu no matter what.
Dah!pole sana huku kuna kamvua ka kujibebisha na kilimo cha mapacha ndo kitapendeza zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwema kabisa. Kuna joto na humidity ya kufa. Kilimo cha watoto ziiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Ualimu ndiyo kazi mama kwa sababu elimu pia ndiyo mkakati mama katika maendeleo ya taifa lolote hapa duniani. Afrika walimu wanadharauliwa sana lakini katika nchi zote walizoweza kuendelea wanatambua umuhimu wa elimu na walimu wanaheshimiwa mno. Nchi za Skandinavia huko kuingia chuo cha ualimu ni mpaka uwe on top of your class. Ni rahisi kwenda kusomea udaktari kuliko kwenda kusomea ualimu. Let that sink in....Yuko vizuri sana kwakweli anafaa kuwa mwalimu
Kweli jirani...Mimi wakati mqingine hata sielewi kwakweli.
Sijui ndo kupenda?
Sijui ndo upofu na kumuamini mtu kupita kiasi?
Sijui ni utoto ama ujinga?
Bado sijapata jibu kwakweli,ama yawezekana ni kutokujitambua.
Haya mambo bhana sijui hata nisemeje.
Yaani unaanza kumtumia mtu utupu wako,hizi akili sijui zinatokaga wapi.
Hakuna ulazima wa kutumiana picha kwanza za kazi gani?kama unataka konokono sijui dushe nenda kalione live,huu utandawazi unatuacha wazi kwakweli.