Makopa pia huku yapo ila koromije wanaita mbute,napenda yale ambayo ndan yana rangi nyeusi aiseee ukiyaangalia kwa mbali hutapenda kuyala ila ukionja tu kosa utamaliza sinia zimaAnha sawa,nilijua ni mihogo iliyokaushwa na jua(kwetu tunaita makopa)
Asanteni kwa kunitoa ushamba
Numbisa
Hahahah kabisaaaKivuruge kaja kuvuruga[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mnalima nini?Kwema kabisa. Kuna joto na humidity ya kufa. Kilimo cha watoto ziiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Keshafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] tunaongelea hicho ulichokiongelea wewe[emoji125]Kama kina utelezi wa kutosha hakiwezi kuziba(hata sijui mnaongelea nini?!!)
[emoji16] [emoji16] [emoji16] ww Carba,,,ina maana hujui hizo vituNi mihogo iliyokaushwa na jua ama??
Ufafanuzi tafadhali
Numbisa kashaniambiaAsante Numby...
Muulizaji bila shaka atakuwa ameelewa. Akitaka tofauti ya Matobolwa na michembe aseme.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] moja haikai wala mbili haikaiCity kapoteza mwelekeo,,,sare ni ushind wake mkubwa leo
NiceNumbisa kashaniambia
Shukrani nimeelewa[emoji4][emoji4]
Nachukua likizo nije kula hivi vituMakopa pia huku yapo ila koromije wanaita mbute,napenda yale ambayo ndan yana rangi nyeusi aiseee ukiyaangalia kwa mbali hutapenda kuyala ila ukionja tu kosa utamaliza sinia zima
Nilikuwa nakwenda na michembe kibao boarding school. Unatafuna halafu unasukumizia na maji. Wakati wengine wanapiga miayo kwa sababu ya njaa mi tumbo liko ndiiii !!!Huwa nabebena(tafuna)hivyo hivyo ila napenda sana matobolwa kwa chai
Hahaha welcomeNachukua likizo nije kula hivi vitu
UlimbukeniMimi wakati mqingine hata sielewi kwakweli.
Sijui ndo kupenda?
Sijui ndo upofu na kumuamini mtu kupita kiasi?
Sijui ni utoto ama ujinga?
Bado sijapata jibu kwakweli,ama yawezekana ni kutokujitambua.
Haya mambo bhana sijui hata nisemeje.
Yaani unaanza kumtumia mtu utupu wako,hizi akili sijui zinatokaga wapi.
Hakuna ulazima wa kutumiana picha kwanza za kazi gani?kama unataka konokono sijui dushe nenda kalione live,huu utandawazi unatuacha wazi kwakweli.