Nampenda sana huyu bidada
Yule anashida mahali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hapo avatar yake ni wezele kubwa la mwanamke
Uko tayari kupangwa?Eeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] waninyonyooooee mpaka waseme basi
Nigawe hela?!!! Kisa? Ninyonge likiuno langu hili midakika na midakika ati ze endi mimi mwenyewe nitoe mihela?!!! Waache waendage,kwanza jambo lenyewe halina umuhimu....konyagiiiiSasa unafikiri ni rahisi?
Ama uwe na mihela kama ndama mutoto ya ng'ombe
Kabisa ila nao wanaumozwa vibaya. Uwoya kama joket nae alikua na mahusiano na jamaa baada ya kumtosa ndiku basi jamaa alikua anajenga bonge la nyumba,uwoya akawa kazi yake kusimamia ujenz na kulipa vibarua,mwisho wa siku akaolewa mwingine,bidada alisala na kwenda kuanzisha ugomviNa kwa watu kama hao ajue tu anapangwa,foleni ni ndefu sana
Hahahaa hii huwa inatokea mazee!
me sijui nina nini kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe umeskrini shoti? Mna nini lakini nyie?
BAK BAK in da house......!Pole sana Carba karibu kwenye Tanzania ya vi wonder lakini umeme wa manati.