Hahahahaaa! Ila wewe! Hapa tumepoteza...hatuna mtu kabisa..Hivi unaongelea utamu upi, wa sukari? Huu uandaeitini ni shida! Misamiati mingi unakuwa hujui yani! [emoji1][emoji1]
LinamoShwarii
Unaadimika sana
Kama kwako kuna umeme nambie nije tanesco wamefanya yao hukuLuku yangu jaman inaisha haraka kuliko zote Tanzania
Wala sina matumizi ya maanaMatumiz makubwa yanamaliza luku haraka au kuna waya mmoja hapo umelika ndo unaovujisha umeme
Yes DanpolLinamo
Vita kimya kimya mkuuAm still single bcause,Weddings are expensive, and I have expensive tastes in consumption cases like clothes, footwear etc.
SawaMkuu ntakuzungumzia siku nyingine halafu ntaku-tag!
Hahahaha unatumia ule wa elfu kumi unit 75 ambazo saiv wamepunguza ni 73 ule elfu kumi unit 28 kwa mwezi?Wala sina matumizi ya maana
Jumatatu naenda tanesco wanataka kukuzia uchumi luku yangu
Hata sijui [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mc hajafungwa??
Kwangu upo njoo.Kama kwako kuna umeme nambie nije tanesco wamefanya yao huku
Ahhhh hivi yule bwana mdogo ni Mwanaume au Mwanamke ???Huyo huyo
Kangetulia saiv kangekua ka mrs machacheAisee!!! Wangemuacha sasa.Imekuwa kama sehemu ya kujifunzia kukata mauno!
Uko deep leoStill loving you was the most beautiful way to die.
Hahahahaaa! Ila wewe! Hapa tumepoteza...hatuna mtu kabisa..
Naongelea utamu wa Mirinda nyeusi.
Me mbona nilinunua mwezi huu nikapata 77?simepunguzwa kuanzia lini??Hahahaha unatumia ule wa elfu kumi unit 75 ambazo saiv wamepunguza ni 73 ule elfu kumi unit 28 kwa mwezi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti hatuna mtu kabisa, kwahiyo huyo n upepo huoHahahahaaa! Ila wewe! Hapa tumepoteza...hatuna mtu kabisa..
Naongelea utamu wa Mirinda nyeusi.