Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanastahili sana kupiga hizo pesa maana mionekano yao sio kitoto kiongozi wangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani na hivi unaongea hivi ndo nazidi pata hamasa ya kuitafuta.
Najitolea kuti kwenda kazini kesho nitafute ile picha[emoji23][emoji23][emoji23]

Hawa yuuuu shemejii
Unahangaika.

Safi kabisa mama,jumapili imekwendaje?
Tuendelee kumtegemea Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…