Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], Bi mkubwa alitegemea kwa vitasa vya mzee ulie kweli kweli..Aliona kama umepapaswa tu.
 
Love ya kinafiki kuja kumchoresha humu mama ako unahadithia ukidhan ni kitu kizuri kumbe unamdhalilisha umeniboa kweli
 
Love ya kinafiki kuja kumchoresha humu mama ako unahadithia ukidhan ni kitu kizuri kumbe unamdhalilisha umeniboa kweli
Ushauri rahisi kwako:
You are one sick gullible person (Get some help)
Huna Moral Authority ya kunifundisha mimi chochote wala lolote hapa duniani...Hivyo usipoteze muda wako kabisa!
Jamii ninayotekea mimi na wewe ni mbili tofauti kabisaaaaaa, hivyo kama nakuboa sana siyo lazima unijibu hapa. Maana mimi wewe huwezi kuniboa hata siku moja kwasababu sikujui, hatuna undugu wala urafiki wowote ule na nimekukuta tu hapa mtandaoni na nitakuacha hapa hapa.....Hivyo tuendelee tu kupeana Likes Mkuu maana hata anayesemwa hapa anapitaka kwenye hili jukwaa kimya kimya na anaishia kucheka tu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…