Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji28][emoji16][emoji23], Baada ya pilika pilika za kariakoo naimani kiu haitamuacha salama,, hatakuwa na namna.
 
MC andjul? Eeh, itakuwa patashika! [emoji3][emoji3]
 
Kuna wasomi wahitimu SUA hawataki kwenda kuishi vijijini kufanya tafiti kuhusu mazao, wadudu waharibifu, miti, udongo,nk. Wamejazana kwenye NGO ambazo hazina uhusiano na taaluma zao mijini, kisa, wao wasomi hawawezi ishi vijijini.
 
Kuna mtu anafanya utafiti Tanzania mkuu? Umeshasoma tafiti zinazotoka Mlimani pale? Utatajirika kwa kufanya utafiti? Elimu yetu ni ya hovyo mno mkuu. Na ukiishi kijijini wewe ndo utachekwa mpaka ufe....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…