I guess ni umashuhuri wao tu ndo maana.Watu wanakufa kila siku kwa maelfu mpendwa na probability ya watu waliozaliwa siku moja kufa siku moja sidhani kama ni jambo la ajabu sana hasa ukizingatia kuwa sample ni mabilioni ya watu. Au kwa vile hawa ni watu "mashuhuri?"
Jaribu kulala sasa...I guess ni umashuhuri wao tu ndo maana.
[emoji1]Wacha nijaribu aseeJaribu kulala sasa...
Aliyekukatia mpuuze [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ugua upone maa[emoji120][emoji120]Malaria tayar nna dozi
Amen
Utuote,bora yako mwenye usingizi,hapa umegoma
Niletee tu[emoji1][emoji1][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ngoja nikuletee nyingine
Akili yangu inaelewa yale maneno ya kakayako haraka sana sijui kwanini[emoji23][emoji23][emoji23]Sio kweli tatizo unanibagua
Andjul na maneno mazito unamuelewa sio vizur hivyo
Ewe mkataji,oea huruma bibi huyu mrudishie usingizi tafadhali,amen[emoji120][emoji120][emoji1]Wacha nijaribu asee
Sio rahisi eti shem waiii[emoji23] [emoji23] [emoji124]
Wewe hujawahi kukatiwa? Ulifanyeje ili kujinasua? Toa uzoefu wako ili kumsaidia JT wangu anateseka !!!Ewe mkataji,oea huruma bibi huyu mrudishie usingizi tafadhali,amen[emoji120][emoji120]
Ni kupambana tu na mkataji.Wewe hujawahi kukatiwa? Ulifanyeje ili kujinasua. Toa uzoefu wako ili kumsaidia JT wangu anateseka !!!
Unanikimbia kitandani kumbe unakuja huku jf [emoji35] [emoji35] [emoji35]Ni kupambana tu na mkataji.
Ila mbona naye ni mzoefu huyu?
Afadhali tumekutana wewe mwenyewe mbona uko huku??Unanikimbia kitandani kumbe unakuja huku jf [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Nimekuja kukutafuta baada ya kunikimbia kuleAfadhali tumekutana wewe mwenyewe mbona uko huku??
Eti kupambana tu na mkataji. Utapambanaje sasa hasa kama mkataji yuko Kibiti na wewe uko Chuga?Ni kupambana tu na mkataji.
Ila mbona naye ni mzoefu huyu?
Mmh[emoji124] [emoji124] [emoji124]Nimekuja kukutafuta baada ya kunikimbia kule
Narudi kukusubiri [emoji35] [emoji35]Mmh[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ni kumuombea tu kuwa na yeye iko siku yatamkuta,malipo hapahapa ohooo[emoji23][emoji23]Eti kupambana tu na mkataji. Utapambanaje sasa hasa kama mkataji yuko Kibiti na wewe uko Chuga?