carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sana halafu usikute huko waliko full magego[emoji23][emoji23][emoji23]Watu wakatili jamani. Ikiwezekana wakataji hawa wapigwe na radi ili wakatiwaji muweze kupumzika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jizazi. Nawe uko macho? Wamekukatia usingizi ama? Kama jibu ni ndiyo basi uzi huu utakuwa umevunja rekodi kwa mabinti kukatiwa usingizi leo.Hahahahaha!
Hii kitu sijui kama inakaa akilini kirahisi hivyo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wameukata ama ndo bata batani weekend hii??Hahahahaha!
Usingizi unakatwa na nani?Jizazi. Nawe uko macho? Wamekukatia usingizi ama? Kama jibu ni ndiyo basi uzi huu utakuwa umevunja rekodi kwa mabinti kukatiwa usingizi leo.
Ledada [emoji818][emoji818][emoji818]
Carba [emoji818][emoji818][emoji818]
Pyaar [emoji818][emoji818][emoji818]
Ikikurudia? Si nawe utakuwa unafuata ile kanuni ya malipo ni hapa hapa duniani? Itabidi upambane na hali yako tu...Sana halafu usikute huko waliko full magego[emoji23][emoji23][emoji23]
Wapigwe tu radi kwakweli ila mmmh!!hii radi ikinirudia mimi je??[emoji23][emoji23]
Hahahahaha! Umekatika wenyewe.. Nipo home.Wameukata ama ndo bata batani weekend hii??
Yaani mimi tangu saa4 napambana na hali yangu.Jizazi. Nawe uko macho? Wamekukatia usingizi ama? Kama jibu ni ndiyo basi uzi huu utakuwa umevunja rekodi kwa mabinti kukatiwa usingizi leo.
Ledada [emoji818][emoji818][emoji818]
Carba [emoji818][emoji818][emoji818]
Pyaar [emoji818][emoji818][emoji818]
Daah!Ikikurudia? Si nawe utakuwa unafuata ile kanuni ya malipo ni hapa hapa duniani? Itabidi upambane na hali yako tu...
PoleHahahahaha! Umekatika wenyewe.. Nipo home.
Let's say mtu ulimkatia kwa wiki moja. Mbona yeye akukatie kwa mwezi mzima au zaidi? Huu siyo ukatili?Sasa utafanyaje?tatizo ni kwamba huwezi pima ukali la sivyo tungejua kama malipo huwa kwa kiwango kilekile ama zaidi au pungufu
Asante.Pole
Jipe muda. Kukatiwa utakatiwa tu. Kanafunzi kako kale kapoti kenye ugumu wa bandia kale kuna siku katakukatia. We endelea tu kucheza nako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante.
Kwani kuna muda naweza katiwa? Nani ananikatia??
Hapo ndo pagumu sasa[emoji23][emoji23]Let's say mtu ulimkatia kwa wiki moja. Mbona yeye akukatie kwa mwezi mzima au zaidi? Huu siyo ukatili?
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], haya bwana.Jipe muda. Kukatiwa utakatiwa tu. Kanafunzi kako kale kapoti kenye ugumu wa bandia kale kuna siku katakukatia. We endelea tu kucheza nako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]
Hapo ndo pagumu sasa[emoji23][emoji23]Let's say mtu ulimkatia kwa wiki moja. Mbona yeye akukatie kwa mwezi mzima au zaidi? Huu siyo ukatili?
Mkataji na muda wa kukatiwa wewe ndo utajua muda ukifikaAsante.
Kwani kuna muda naweza katiwa? Nani ananikatia??