carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hata kama si mwanafunzi wake yaweza kiwa mtu mwingine huko mtaani akamkatia[emoji2][emoji2]Jipe muda. Kukatiwa utakatiwa tu. Kanafunzi kako kale kapoti kenye ugumu wa bandia kale kuna siku katakukatia. We endelea tu kucheza nako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakataji wamekaza[emoji17][emoji17]Leo tunakesha? [emoji15]
Hahahaha! Sawa, ntaleta mrejesho..Ila kama ni hivyo nahisi kuna mtu kashaanza kunikatia..Mkataji na muda wa kukatiwa wewe ndo utajua muda ukifika
Jana pia ulipotea?Leo tunakesha? [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i played myself
[emoji23][emoji23][emoji23]naona somo la ukataji umeanza kulielewa.Hahahaha! Sawa, ntaleta mrejesho..Ila kama ni hivyo nahisi kuna mtu kashaanza kunikatia..
Wakataji wamekaza[emoji17][emoji17]
Jana pia ulipotea?
Hata najua basi maana wako kama 3 hivi[emoji124] [emoji124]Nani kakukatia?
Jipe muda. Kukatiwa utakatiwa tu. Kanafunzi kako kale kapoti kenye ugumu wa bandia kale kuna siku katakukatia. We endelea tu kucheza nako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema,wakataji wasikukatie.[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Baadaye wakuu tukijaliwa. Mkawe na Jumamosi njema ajabu. Tumshukuru Mungu...
[emoji443][emoji445][emoji444]Kata kata, kata mwanangu kata,[emoji23][emoji23][emoji23]naona somo la ukataji umeanza kulielewa.
Pole kwa kukatiwa na hongera kwa kupata mkataji
Hata najua basi maana wako kama 3 hivi[emoji124] [emoji124]