Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyo hata sijui kwakweli,bro wako ana codes ambazo ni yeye huzielewa ama yule bebe wake
Codes za jirani afadhali zinaeleweka lakini za bro ni changamoto. Ndiyo maana hata wakati ule anashusha parabozi za kuhangaikia mizimu ilishindikana kwa sababu hata mlengwa pamoja na mizimu yake pengine alikuwa haelewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dadii ulikua unakula kweli mbona avatar imekonda
 
Bro, I asure you 80% ya waathirika wanaofanyiwa upasuaji huu, uende ulaya ukirudi ujogoo umemwachia daktari wako. Ni wachache mno wanabahatika kurudi wakiwa wanaume/kuurejea uanaume baada ya matibabu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwenye mapenzi kuna vitu vikuu viwili vya kuzingatia, navyo ni KUPANUANA na KUTIANA.

1.KUPANUANA.
Hakikisha mpenzi wako ana upeo wa kimaisha kiasi kwamba anaweza kukupanua mawazo yako, la sivyo utakuwa unatembea na kichwa maji.

2.KUTIANA
Hili suala pia lina umuhimu wake katika safari nzima ya mapenzi. Unaweza kukaa na kukata tamaa, hivyo hakikisha una mpenzi wa KUKUTIA MOYO na sio yule ambaye kama umekata tamaa anakupa msongo wa mawazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] we wazaga tu uzwange
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]


Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mimi nahisi niko huko,maana siku hizi mikausho mikali halafu hata hamumpi [emoji106][emoji106]sijui mkoje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngojeni bebi arudi
Atamalizia watu huko sasa likes atakuwa anazipata za nani? Miye niko huko. Yule jamaa wa mapovu naye yuko huko. Kuna vijana wawili walimuuliza uliza vitu juzi hapa nadhani nao wako huko. Na nyie mkiwa huko sasa si atakuwa anajishoot mwenyewe. Kama bado mnapata likes basi ni wazi hamko huko. Kama hamzipati basi welcome to the club...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Eeh, kumekucha! [emoji1][emoji1]
 
Codes za jirani afadhali zinaeleweka lakini za bro ni changamoto. Ndiyo maana hata wakati ule anashusha parabozi za kuhangaikia mizimu ilishindikana kwa sababu hata mlengwa pamoja na mizimu yake pengine alikuwa haelewi

Mimi nahisi niko huko,maana siku hizi mikausho mikali halafu hata hamumpi [emoji106][emoji106]sijui mkoje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngojeni bebi arudi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]picha zinatisha
 
Wenye hela wanaepuka mengi
 
Ngoja tusubiri hiyo tarehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…