Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimeingia hoteli fulani ilikuwa na board poa ina-advertise nyama choma. My brother vile nyama imechorwa hapo nje ni tofauti na ile iko hoteli... [emoji19][emoji19][emoji19] saa hii nanunua nyama yangu kwa butchery mi sipendi ujinga
 
3dde6252-768c-4ed3-a453-49bf36429634.jpg
 
Tangu fowadi huyo alipokata rufaa kutaka apewe bao ambalo awali lilionekana kufungwa na Christian Eriksen kwenye mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Stoke City ili kujiongezea mabao ya kumfukuzia Mohamed Salah kwenye vita ya Kiatu cha Dhahabu, amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.
 
Baada ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la FA kati ya Spurs na Manchester United iliyofanyika Wembley Jumamosi, FA ilituma ujumbe kwenye ukurasa wao wa Twitter, ambao ulikuwa kijembe cha moja kwa moja kwa straika Kane.
 
Back
Top Bottom